info@chembesongroup.co.tz 0766500806 Mon - Sat: 8:00 AM - 5:00 PM
|
SW EN

Wasiliana Nasi

Tupo tayari kukuhudumia. Wasiliana nasi kwa maswali, ushauri, au maombi ya huduma za usafirishaji.

Njia 3 Rahisi za Kupata Huduma

Unapendelea Kupata Huduma Kwa Njia Gani?

Kwa kuwa bei na nukuu za usafirishaji zinazungumzwa moja kwa moja kwa njia ya simu, chagua njia inayokufaa hapa chini kupata huduma mara moja.

1. Booking Mtandaoni

Jaza fomu yetu ya mtandaoni ya hatua kwa hatua kupata akaunti ya kufuatilia safari na kupigiwa simu ya nukuu ya bei.

Weka Booking Sasa
2. Kupiga Simu Moja kwa Moja

Piga simu masaa 24/7 kuzungumza na afisa wetu wa huduma kwa wateja kwa ajili ya mazungumzo ya bei na nukuu rasmi.

Piga 0766500806 Sasa
3. Kufika Ofisi ya Chembeson

Fika kwenye ofisi yetu iliyopo Kimara, Dar es Salaam kwa mazungumzo ya ana kwa ana.

Tazama Anwani ya Ofisi

Ramani ya Ofisi Zetu

Kimara, Ubungo, Dar es Salaam, Tanzania.

Tutumie Ujumbe Wako

Jaza fomu hii nasi tutakujibu kwa haraka kupitia barua pepe au simu.

0766500806 (Jinsi ya kupata huduma hii?)
Live Chat — CGL Support
Mtandaoni (Online 24/7)
Habari! 👋 Karibu kwenye Live Chat ya Chembeson Group Limited.

Tuna Njia 3 Rahisi za Kupata Huduma:
1. 📝 Booking Mtandaoni (Online Form)
2. 📞 Kupiga Simu Moja kwa Moja (0766500806 kwa Mazungumzo ya Bei)
3. 🏢 Kufika Ofisini (Kimara, Dar es Salaam)

Nikuwezesheje leo?
18:35