info@chembesongroup.co.tz 0766500806 Mon - Sat: 8:00 AM - 5:00 PM
|
SW EN

Kuhusu Chembeson Group Limited

Washirika wako wa kuaminika katika huduma za usafirishaji wa mizigo mizito, clearing and forwarding, na ulinzi wa mizigo Tanzania na nchi za Afrika Mashariki.

Historia na Kukua Kwetu Chembeson Group Limited

Tokea kuanzishwa kwetu, Chembeson Group Limited imekua na kuwa mmoja wa watoa huduma wakubwa wa logistics na usafirishaji nchini Tanzania, tukihudumia mikoa yote ya Muungano wa Tanzania pamoja na nchi jirani za EAC kama Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, na DRC.

CGL Logistics
100% Tanzania
Watanzania Wenye Uzoefu

Dira Yetu (Vision)

Kuwa kampuni inayoongoza na inayotembelewa zaidi kwa huduma za usafirishaji na logistics katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.

Dhamira Yetu (Mission)

Kutoa huduma za usafirishaji wa mizigo na logistics zilizo salama, za haraka na za uhakika kwa kutumia teknolojia ya kisasa na wafanyakazi wenye uzoefu wa hali ya juu.

Misingi Yetu (Core Values)
  • Uhakika na Uaminifu (Reliability & Trust)
  • Usalama wa Mzigo (Cargo Safety First)
  • Kasi na Uwazi (Speed & Transparency)
  • Utaalamu wa Hali ya Juu (Professional Excellence)
Kwanini Uchague Chembeson Group Limited?

Tuna uzoefu wa miaka mingi katika usafirishaji wa mizigo na huduma za bandari Tanzania na Afrika Mashariki.

Unahitaji Usafirishaji wa Uhakika wa Mzigo Wako?

Wasiliana na wataalamu wetu leo upate nukuu ya bei (Quote) ya haraka bila gharama yoyote.

Weka Oda Sasa
0766500806 (Jinsi ya kupata huduma hii?)
Live Chat — CGL Support
Mtandaoni (Online 24/7)
Habari! 👋 Karibu kwenye Live Chat ya Chembeson Group Limited.

Tuna Njia 3 Rahisi za Kupata Huduma:
1. 📝 Booking Mtandaoni (Online Form)
2. 📞 Kupiga Simu Moja kwa Moja (0766500806 kwa Mazungumzo ya Bei)
3. 🏢 Kufika Ofisini (Kimara, Dar es Salaam)

Nikuwezesheje leo?
18:34