Ulinzi na Escort ya Mzigo
Magari ya kusindikiza mizigo mizito (Escort Vehicles) na ulinzi madhubuti njiani hadi kufika mahali inapokwenda.
Usafirishaji wa Uhakika
Magari na maroli ya kisasa yenye GPS tracking kufuatilia safari ya mzigo wako muda wote.
Clearing & Forwarding Haraka
Tunakamilisha taratibu zote za kodi na utoaji mizigo bandarini Dar es Salaam & Tanga bila ucheleweshaji.
Kampuni inayoongoza kwa huduma za usafirishaji na usalama nchini Tanzania.
Soma ZaidiUsalama Kwanza
Magari ya Kisasa
Vibali Bandarini
Ufuatiliaji Saa 24
0%
0/7
0
0+
Usindikizaji wa mizigo mizito
Tunatekeleza Safari Salama na Wadau wa Kimataifa
Ushirikiano madhubuti wa usafirishaji mizigo mikubwa na clearing bandarini.
Maneno ya Wateja Waliosafirisha Mizigo Nasi
Ushuhuda wa kweli kutoka kwa wamiliki wa mizigo, wakurugenzi wa uendeshaji na makampuni tunayoyahudumia.
100%
Uhakika & Usalama5.0 / 5.0
Kiwango cha Kuridhika"Huduma yenu ni bora na ni ya uhakika sana kwasababu hamjawahi kuniangusha hata siku moja"
Mr Waka waka
RAS Logistic"Nimependa huduma yenu kwani mzigo wangu umesafiri ndani ya muda mfupi sana na kufika."
Eng Juma Hamis
ABC CO LTDUnapendelea Kupata Huduma Kwa Njia Gani?
Kwa kuwa bei na nukuu za usafirishaji zinazungumzwa moja kwa moja kwa njia ya simu, chagua njia inayokufaa hapa chini kupata huduma mara moja.
1. Booking Mtandaoni
Jaza fomu yetu ya mtandaoni ya hatua kwa hatua kupata akaunti ya kufuatilia safari na kupigiwa simu ya nukuu ya bei.
Weka Booking Sasa2. Kupiga Simu Moja kwa Moja
Piga simu masaa 24/7 kuzungumza na afisa wetu wa huduma kwa wateja kwa ajili ya mazungumzo ya bei na nukuu rasmi.
Piga 0766500806 Sasa3. Kufika Ofisi ya Chembeson
Fika kwenye ofisi yetu iliyopo Kimara, Dar es Salaam kwa mazungumzo ya ana kwa ana.
Tazama Anwani ya OfisiUnahitaji Usafirishaji wa Uhakika wa Mzigo Wako?
Wasiliana na wataalamu wetu leo upate nukuu ya bei (Quote) ya haraka bila gharama yoyote.